Wakuu Natumai hamjambo, kuna mdogo wangu kasahau email aliyoingia Kwenye chuo cha NIT msaada kwa anayejua zaidi maana najaribu hata kuwapigia namba hazipatikani kabisa anahitaji kuangalia kachaguliwa faculty gani, Natanguliza shukrani. Msaada
NIT unalog in kwa kutumia namba ya mtihani ya form 4, sio email...
Yaani sehemu ya "username" unaandika namba yako ya mtihani ya form 4 kwa mtindo huu:
S0213/0125/2020
Na pia naomba kuuliza kuna ndugu yangu baada ya kumaliza kidato cha NNE akaenda veta kusomea coz ya udereva na saiv ana leseni yake anataka kusomea V.I.P course je iyo course ipo...?