Wana JF
Naomba kupata Details za kutosha kuhusu chuo cha bandari Dsm, kuanzia ada zake,E-mail yake hostel, mazingira yake, mahali kilipo na ubora wa kozi zake. samahani km nitawakwaza ila nahitaji msaada kwa hayo na mengineyo mengi ambayo mtu anayajua kuhusu chuo hiko.