Nilimpeleka rabininsia Hospital mwanzo wakasema inaweza kuwa Kwenye kutambaa tamba labda amelamba pachafu au kula so anaweza kuwa amepata bacteria nikapewa antibiotic ndo inaisha leo lakin bado inatoka
Ikabid nimrudishe leo asubui wakampima tumbo liko sawa na sehem ya haja kubwa kwa Nje hajachunika
leo nikawapelekea choo kikubwa wakasema hakina haja coz kama ana infection dawa niliyokuandikia ingemaliza tatizo
So wakasema labda kesho tumchek dr wa upasuaji amchunguze yan nimetetemeka naogopa
Waangalia kama amechunika kwa ndan au vip....
Msaada wenu jamani
Sent from my iPhone using JamiiForums