Bin Kisafuru
Senior Member
- Oct 4, 2018
- 110
- 162
Ngozi inabanduka mkuu, na inazidi kusambaa hadi kweny duduNgozi inabanduka au ni vidonda
Unavaa boksa moja week mbili unategemea utakua salama mkuuJamani nina fangasi kwenye pumbu (korodani) zinanisumbua sana (zinawasha), msaada tafadhali maana nimetumia dawa za kupaka lakin wapi.
Mwenye kujua tiba asili naomba anisaidie.
Anhaa ile ukipaka lazma uite maji mma😅😅😅 ni zaidi ya HCLKuna dawa ya kupaka nimeisahau jina ila ni kiboko, pharmacy wanaiuza 15k
[emoji3][emoji3][emoji3]Anhaa ile ukipaka lazma uite maji mma[emoji28][emoji28][emoji28] ni zaidi ya HCL
inaitwaje mkuuAnhaa ile ukipaka lazma uite maji mma[emoji28][emoji28][emoji28] ni zaidi ya HCL