CEYLON JF-Expert Member Joined Dec 3, 2012 Posts 314 Reaction score 151 Feb 12, 2014 #1 Habari wana jf,ukiacha DSTV,kuna chaneli zozote zinazoonesha ligi za mpira wa miguu za uingereza,hispania,italia nk? kama zipo naomba kujuzwa namna ya upatikanaji pamoja na gharama zake.
Habari wana jf,ukiacha DSTV,kuna chaneli zozote zinazoonesha ligi za mpira wa miguu za uingereza,hispania,italia nk? kama zipo naomba kujuzwa namna ya upatikanaji pamoja na gharama zake.
juan david JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 3,976 Reaction score 5,466 Feb 12, 2014 #2 irib verzesh na irib tv 3 zinapatika 20°E kwa rcv ya mpeg4 yenyeuwezo wa kupatch biss key
CEYLON JF-Expert Member Joined Dec 3, 2012 Posts 314 Reaction score 151 Feb 12, 2014 Thread starter #3 juan david said: irib verzesh na irib tv 3 zinapatika 20°E kwa rcv ya mpeg4 yenyeuwezo wa kupatch biss key Click to expand... ahsante kwa ushauri mkuu,nitajaribu kuwafuata mafundi wanisaidie kuhusu meseji yako maana ipo kisayansi zaidi
juan david said: irib verzesh na irib tv 3 zinapatika 20°E kwa rcv ya mpeg4 yenyeuwezo wa kupatch biss key Click to expand... ahsante kwa ushauri mkuu,nitajaribu kuwafuata mafundi wanisaidie kuhusu meseji yako maana ipo kisayansi zaidi
M Mzalendo_Mkweli JF-Expert Member Joined Jan 30, 2012 Posts 2,069 Reaction score 1,332 Feb 12, 2014 #4 TING pia inaonyesha
CEYLON JF-Expert Member Joined Dec 3, 2012 Posts 314 Reaction score 151 Feb 12, 2014 Thread starter #5 Mzalendo_Mkweli said: TING pia inaonyesha Click to expand... ahsante kwa taarifa mkuu
Pozzers JF-Expert Member Joined Sep 14, 2013 Posts 337 Reaction score 560 Feb 12, 2014 #6 Hivi zuku haionyeshi jamani???