Msaada: Cd-rom haisomi cd

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,145
Wadau nina Dell Inspiron ambayo inasoma Dvd peke yake. Naweza tatua hili tatizo? Au inahitaji ninunue Cd-rom mpya?
 
Wadau nina Dell Inspiron ambayo inasoma Dvd peke yake. Naweza tatua hili tatizo? Au inahitaji ninunue Cd-rom mpya?

Umejaribu CD ngapi tofauti imeshindwa kusoma na umejaribu DVD ngapi tofauti imeweza kusoma.

Kuna kitu inaitwa backward compatibility kwamba kama imewezakusoma DVD basi ilitakiwa iweze kusoma CD bila shida. Kwa hiyo tatizo linaweza kuwa storage Media na sio storage Drive . Otherwise cheki kama ina drivers sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…