Msaada kwa anaejua kuhusu hii course 'bachelor of science in physics'
1: Ina mtrain m2 kuja kuwa nani?
2:field zao huwa wanafanyia wapi?
3:Is it marketable?
Kuna mdogo wng kachaguliwa kwenda kuisoma bagamoyo university but he know nothing about it wala hakuichagua, na kwa taarifa nilizopata pia inatolewa UDOM, college ya natural science