The Genius JF-Expert Member Joined May 29, 2018 Posts 828 Reaction score 2,110 Oct 21, 2022 #1 Wakuu salamu Simu yangu Samsung A10s hai detect Bluetooth wala wi-fi hususan 5G Tatizo linaweza kuwa ni nini? Haikuwa hivyo tokea mwanzoni, ni limeanza tu hivi majuzi. Msaada tafadhali
Wakuu salamu Simu yangu Samsung A10s hai detect Bluetooth wala wi-fi hususan 5G Tatizo linaweza kuwa ni nini? Haikuwa hivyo tokea mwanzoni, ni limeanza tu hivi majuzi. Msaada tafadhali