Shukrani kwa tenda mkuu i hope to see you very soon,Yeah, hili swala lipo tena watu wanakula hela kiulaini tu...ukifikia mda ukaelewa how this agencies operate njoo tuwasiliane kupitia 0767881407 tufanye kaz ya kuitangaza kampuni yangu
Ok, umenipa angle nyingne ya kuifanya hii business tutawasiliana mkuu [emoji106]Mi nimejikita kwenye online marketing ambayo unawalipa facebook, wanakuonesh fb users wa service kabla hujatangaza e. g. 400 school owners, nicheki kwa :0713-039875
Mkuu unaweza kunipa hata A, B, C nianzie mguu gani, like mfano nikiwa na idea ya tangazo la radio procedures zikoje?una wazo zuri la kujikita kwenye biashara ambayo moyo wako umevutiwa......ni nzuri na inalipa......ila inachangamoto lukuki sana....kubwa kuliko zote ni haki miliki... unaweza kufanya ubunifu (creative) wa tangazo kabla hamjaafikiana na client wako.....waweza shangaa liko hewani.....kuna aina ya watu wanayo hiyo tabia... dont trust anybody....am in that industry ni uzoefu wa kutosha...au unaweza kutumika kama daraja....kuwa makini na endelea kujifunza polepole.....kazi zipi sana tuu...
Hata ukiwa na Idea,,,, mteja wako ni nani......one thing is mteja wako anataka nini....na mteja wako anadeal na nini....kuwa na idea tuu sio solutions,, you can start kama freelancer kwanza.....ila msingi mkubwa ni kuwa na utaalamu, hasa wa programu zinazotumika kuandaa, za PC na ziko za aina nyingi,,,,,unaweza kuwa na mtaalamu, but sio cheap,.. ...sio safari fupi, ila ukidhamiria utaweza...Mkuu unaweza kunipa hata A, B, C nianzie mguu gani, like mfano nikiwa na idea ya tangazo la radio procedures zikoje?
Sawa sawa nmekupata mkuu, let me see where to start!Hata ukiwa na Idea,,,, mteja wako ni nani......one thing is mteja wako anataka nini....na mteja wako anadeal na nini....kuwa na idea tuu sio solutions,, you can start kama freelancer kwanza.....ila msingi mkubwa ni kuwa na utaalamu, hasa wa programu zinazotumika kuandaa, za PC na ziko za aina nyingi,,,,,unaweza kuwa na mtaalamu, but sio cheap,.. ...sio safari fupi, ila ukidhamiria utaweza...
Mkuu kwa ufafanuzi zaidi na kujua nini cha kufanya baadae nenda kwenye makampuni Kama ya mawasiliano, vyakula eg, vodacom, Airtel, Tigo Tanga fresh unatafuta angalau tangazo lao moja unaenda nalo na nia yako ya kuliboresha zaidi, huko utapata idea nyingi, Idara zao zinaitwa Sales and Marketing.Mkuu mbona nayasikia sana kwa radio na tv au....?