Msaada: Bei za pikipiki aina ya kinglion 150

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
4,304
Reaction score
5,833
Habari wanajamvi,

Kwalioko maeneo ya kariako ama wanaojua bei za pikipiki aina ya kinglion 150 wanipe bei za jumla na rejareja za sprocket complete.


Karibuni sana,

By

Dimaa.
 
15000 jumla nimenunua bei hiyo juz tu kkoo
 
Mie nauza 18000 na nunua 15000 jumla
 
Mkuu soma vzur naona we ndio hauja elewa anaulizia spocket complete za kinglion
ukimfwatilia vzur mtoa maada utagundua kuna maswali mawili kuna makosa ya kiuandishi. yaani bei ya pikipiki na bei ya rejareja ya sproket
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…