Wana JF mwenye kufahamu bei ya zile jiko ndogo za gesi za plate moja ambayo iko full na mtungi wake wa KG 6 bei ya rejareja najua ziko aina tofauti ni vyema pia kujua aina nzuri kwa matumizi na pia ntashukuru nikipata hata bei ya jumla.
ujasiliamali ndio unafanya watu wanauliza hata vitu vidogo,na haikua lazima uje uharishe humu kwani ungepita kimyakimya nani angekustua?next time usikurupuke kama umekakia mguu wa tatu wa nyoso.
mleta uzi hakika utakuwa mwalimu wa shule ya msingi umepangiwa kijijini kufundisha shule za kata so unataka kwenda na kuonjesha umwinji wako......nunua jiko la mafuta ya taa..halina garama