K karatu78 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 233 Reaction score 42 Apr 9, 2014 #1 Habari wanajamvi.naomba msaada ninahitaji mkopo wa utumishi ni kampuni ipi nzuri kati ya baypot na faidika kwa mkopo.
Habari wanajamvi.naomba msaada ninahitaji mkopo wa utumishi ni kampuni ipi nzuri kati ya baypot na faidika kwa mkopo.
G GREAT IDEAS Member Joined Jul 19, 2013 Posts 32 Reaction score 7 Apr 9, 2014 #2 Bayport Wanatoza RIBA ASILIMIA 300 Faidika nao walisababisha watumish wa serikal kuacha kaz kwa makato bila kikomo nakushauri uende NMB benki ya kabwela
Bayport Wanatoza RIBA ASILIMIA 300 Faidika nao walisababisha watumish wa serikal kuacha kaz kwa makato bila kikomo nakushauri uende NMB benki ya kabwela
BHULULU JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 4,994 Reaction score 2,045 Apr 9, 2014 #3 Mkuu usiguse huko kabisa utalia kilio ambacho hujawahi kulia. Nenda tu Bank mkuu. Tena hao Bayport ndiyo hawafai kabisa. Kuna watu wamelia nao sana.
Mkuu usiguse huko kabisa utalia kilio ambacho hujawahi kulia. Nenda tu Bank mkuu. Tena hao Bayport ndiyo hawafai kabisa. Kuna watu wamelia nao sana.