Msaada: Baada ya kuroot simu imeanza kuwa slow

Ulitakiwa ujue system apps gani ni safe kuzi uninstall na zipi ni unsafe.

Mara nyingi phone call na sms app hushauriwi kabisa kuzi uninstall.
ndio ishatokea hivyo sasa inakuaje nini ufumbuzi
 
Just update a new software ,dat is the solution !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
iflash mzee
 
Mm naziroot sana pia hata hiyo developers kuna namna naweza kuifunga pia. Hata ukitaka kubadilisha mfumo ifanane Na Samsung inawezekana
Mkuu tumia lugha nzuri,you sound like tapeli!![emoji4][emoji4][emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…