Kuna simu za kuroot lakini sio tecno hapo mkuu umeshajimix,bora ungeroot high-end phone yenye RAM kuanzia 3gb na kuendelea
Kwa simu za android sioni sababu ya kuroot labda kwa watumiaji wa iphone wakijail breaking simu zao ni sawa
solution m babaUshabugi.... Kutoa system app ya call.... hapo simu lazima ita missbehave tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
nipo na jelly ben tecno h5 baada ya kuiroot nikaona nitoe system apps ambazo huwa sizitumii na nyingine nikaamua kuzibadilisha
nikatoa phone call ya system nikaweka treu caller
pia nikatoa system app ya sms nikaweka go sms
lakini kila nilipobandua system apps nilipata onyo hili
removing system apps may cause system instability and other problems
onyo hilo nikalichukulia kua ni mkwara wa developer tu
ili nisitoe za kwake na kuweka za ukweli
ila naona sm imeanza kua slow sana ukigusa app inachukua muda kufunguka sijajua nini cha kufanya kwa anaejua naomba solution ni nini
Ushaiua hio mbaba haiwez kurud kama mwanzo mi ni root s4 mpaka kesho haipandish H wala 2G nilijarib njia zote kuirudisha kama mwanzo bt haitaknipo na jelly ben tecno h5 baada ya kuiroot nikaona nitoe system apps ambazo huwa sizitumii na nyingine nikaamua kuzibadilisha
nikatoa phone call ya system nikaweka treu caller
pia nikatoa system app ya sms nikaweka go sms
lakini kila nilipobandua system apps nilipata onyo hili
removing system apps may cause system instability and other problems
onyo hilo nikalichukulia kua ni mkwara wa developer tu
ili nisitoe za kwake na kuweka za ukweli
ila naona sm imeanza kua slow sana ukigusa app inachukua muda kufunguka sijajua nini cha kufanya kwa anaejua naomba solution ni nini
weka rom mpya mkuu...usiroot vitecnotayari nimeshaanza kupokea hizo msg kwa apps nilizobadilisha
sasa nini solution m baba
vipi ulii restoreUshaiua hio mbaba haiwez kurud kama mwanzo mi ni root s4 mpaka kesho haipandish H wala 2G nilijarib njia zote kuirudisha kama mwanzo bt haitak
Sent using Jamii Forums mobile app