Taarifa hii ni ngeni kwangu mimi nime root aina hiyo ya simu zaidi ya 60 hakuna simu iliyo fanya hivyo hilo tatizo lako dogo pia hapo unatakiwa uwe na SD card yaani memory kadi ya 2gb halafu download update file la hiyo kwenye google fanya hivyo kwanza nitakupa maelekezo baadae japokuwa kuna changamoto ya kujua ni version gani ya file siyo file zote zinakubaliWakuu simu yangu ya Huawei Y-530 niliifanyia rooting ila sasa imeanza kujizima yenyewe na nikiwasha haimalizi inaishia kwenye Logo ya Huawei.
Nimesha flash mara nyingi sana lakini tatizo linajirudia, msaada tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Taarifa hii ni ngeni kwangu mimi nime root aina hiyo ya simu zaidi ya 60 hakuna simu iliyo fanya hivyo hilo tatizo lako dogo pia hapo unatakiwa uwe na SD card yaani memory kadi ya 2gb halafu download update file la hiyo kwenye google fanya hivyo kwanza nitakupa maelekezo baadae japokuwa kuna changamoto ya kujua ni version gani ya file siyo file zote zinakubali
Inaishia hapo hapo na haimalizi?mkuu na mm ninayo teckn w4 inandika upgrind app 1,63 aiendelei
Pia kuna tecno H5 nilitoa betri ili kuchange line nakuja kuwasha ikaawaka na ikaishia kwenye neno Tecno haiendelei nimepeleka waiflash imeshindikana je? njia nyingine ya kuweza kuiponyesha hii simu!?Taarifa hii ni ngeni kwangu mimi nime root aina hiyo ya simu zaidi ya 60 hakuna simu iliyo fanya hivyo hilo tatizo lako dogo pia hapo unatakiwa uwe na SD card yaani memory kadi ya 2gb halafu download update file la hiyo kwenye google fanya hivyo kwanza nitakupa maelekezo baadae japokuwa kuna changamoto ya kujua ni version gani ya file siyo file zote zinakubali
njoo pmmkuu na mm ninayo teckn w4 inandika upgrind app 1,63 aiendelei
njoo nikuflashie km uko dar..nichek pmPia kuna tecno H5 nilitoa betri ili kuchange line nakuja kuwasha ikaawaka na ikaishia kwenye neno Tecno haiendelei nimepeleka waiflash imeshindikana je? njia nyingine ya kuweza kuiponyesha hii simu!?
njoo nikuflashie mm niko darmkuu na mm ninayo teckn w4 inandika upgrind app 1,63 aiendelei
mmm mara nyingi solution ni ku flash vingineyo km unaipenda hiyo H5 nenda Tecno wakubadilishe circuitPia kuna tecno H5 nilitoa betri ili kuchange line nakuja kuwasha ikaawaka na ikaishia kwenye neno Tecno haiendelei nimepeleka waiflash imeshindikana je? njia nyingine ya kuweza kuiponyesha hii simu!?
Inacost bei gani mkuu?mmm mara nyingi solution ni ku flash vingineyo km unaipenda hiyo H5 nenda Tecno wakubadilishe circuit
lakini kwa jinsi ulivyo eleza km haiko tempered uki flash inaponaInacost bei gani mkuu?
I have experienced same problem on same device. So far i sold itWakuu simu yangu ya Huawei Y-530 niliifanyia rooting ila sasa imeanza kujizima yenyewe na nikiwasha haimalizi inaishia kwenye Logo ya Huawei.
Nimesha flash mara nyingi sana lakini tatizo linajirudia, msaada tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaishia hapo hapo na haimalizi?