Msaada azam TV frequency

Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
1,865
Reaction score
833
Jana nimepata shida sana ktk kumfungia jamaa king'amuzi cha azam hapa Tarime, ilibidi nitumie uzoefu kwa kuedit frequency za zuku TV ndo nikainasa but kwa low quality. Kwa anayezifahamu frequency za king'amuzi hiki cha azam msaada tafadhali. Natanguliza shukrani
 
kwa msaada tu,kwa kuwa azam tv wapo eutelsat w3 @ 7'E,tumia strong transponder kama 12728 H 30000,au 11192 H 3210 kusetia dish,ikikubali hapo kaka,funga king'amuzi cha azam,lakini king'amuzi cha azam kinakuwa na freq zake katika menu yake ambazo ni 12603 H 30000 na 12645 H 30000,kazi kwako kaka
 
nashukuru kaka,kiukweli azam nawakubali sana
 
Asante kwa Msaaada wako Mkuuu Mm naitaji kujua Friquence za Dstv Mkuuu naitaji niedit Mediacom... nisave Friquence za Dstv.
 

Siyo Eutelsat 7B at 7.0°E
 
Dstv Frequencies zake anaezifahamu msaada wandugu.... na Postion... Satellite name ya Dstv.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…