Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,218
- 4,416
kisimbuzi hikihiki tulichoambiwa ije mvua, lije jua kinachapa kazi au??
Ni antena bro sio dish, antena hiyo hiyo ukiweka startimes inasoma fresh ukiweka azam no siginal na ikija inakuja ikiwa mbovu full of scratches inagoma hadi kuupgradeHizi issue za kubalance Azam decoda + Startime Decoda kwa Dish moja zinapunguza sana Signal na zinapelekea kupotea kwa signal wakati wa mvua.
Kawaida Hizo dicoda zinatumia minara boss hivo igeuze geuze antena yako huku ukiangalia signal hio ni tofati na dish ambayo inarumia satelite. Minara kama ikikwepana na hatena huwezipata signalNi antena bro sio dish, antena hiyo hiyo ukiweka startimes inasoma fresh ukiweka azam no siginal na ikija inakuja ikiwa mbovu full of scratches inagoma hadi kuupgrade
ukitaka ufaidi kingamuz cha antena ni lazma utumie antenna ya azam maana antenna yao ina support hdWakuu poleni na majukumu ya kila siku,
Binafsi nimeshindwa kutatua hii issue ya kisimbuzi kipya cha azam antena kinaleta no siginal kama zikija huwa ni kukata kata na ku scratch, awali nilikuwa natumia antena iyo iyo kwa kisimbuzi cha star times na nikirudishia star times kinafanya kazi poa ila nikifunga azam antena iyo iyo kinaloose signal.
Nimejaribu kuangalia intensity nakuta 0 na signal quality ni 0 wakuu niambieni tatizo ni nini??
Nunua Antenna yao Azam then tumia, Tatizo litaisha...Wakuu poleni na majukumu ya kila siku,
Binafsi nimeshindwa kutatua hii issue ya kisimbuzi kipya cha azam antena kinaleta no siginal kama zikija huwa ni kukata kata na ku scratch, awali nilikuwa natumia antena iyo iyo kwa kisimbuzi cha star times na nikirudishia star times kinafanya kazi poa ila nikifunga azam antena iyo iyo kinaloose signal.
Nimejaribu kuangalia intensity nakuta 0 na signal quality ni 0 wakuu niambieni tatizo ni nini??
Unaishi sehemu gani?Nunua Antenna yao Azam then tumia, Tatizo litaisha...
Kanda ya ziwa..Unaishi sehemu gani?
Kanda ya ziwa haina eneo siyo. Kweli wewe unahitaji msaada au unafanya usanii tuKanda ya ziwa..