Msaada: Azam antena inasumbua SIGINAL

tembajr

JF-Expert Member
May 27, 2016
937
1,000
Wakuu poleni na majukumu ya kila siku,

Binafsi nimeshindwa kutatua hii issue ya kisimbuzi kipya cha azam antena kinaleta no siginal kama zikija huwa ni kukata kata na ku scratch, awali nilikuwa natumia antena iyo iyo kwa kisimbuzi cha star times na nikirudishia star times kinafanya kazi poa ila nikifunga azam antena iyo iyo kinaloose signal.

Nimejaribu kuangalia intensity nakuta 0 na signal quality ni 0 wakuu niambieni tatizo ni nini??
 
Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
8,706
2,000
kisimbuzi hikihiki tulichoambiwa ije mvua, lije jua kinachapa kazi au??
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
40,237
2,000
kisimbuzi hikihiki tulichoambiwa ije mvua, lije jua kinachapa kazi au??

Na kweli walipiga promo sana ,sijajua kwanini ,Juzi Azam kwangu ilikata mazima no signal(Dish) ila baadae usiku around saa tano signal ikarudi.
 
MoneyHeist4

JF-Expert Member
Jul 10, 2017
1,367
2,000
Hizi issue za kubalance Azam decoda + Startime Decoda kwa Dish moja zinapunguza sana Signal na zinapelekea kupotea kwa signal wakati wa mvua.
 
tembajr

JF-Expert Member
May 27, 2016
937
1,000
Hizi issue za kubalance Azam decoda + Startime Decoda kwa Dish moja zinapunguza sana Signal na zinapelekea kupotea kwa signal wakati wa mvua.
Ni antena bro sio dish, antena hiyo hiyo ukiweka startimes inasoma fresh ukiweka azam no siginal na ikija inakuja ikiwa mbovu full of scratches inagoma hadi kuupgrade
 
MEING'ATI

JF-Expert Member
Feb 17, 2014
1,204
2,000
Ni antena bro sio dish, antena hiyo hiyo ukiweka startimes inasoma fresh ukiweka azam no siginal na ikija inakuja ikiwa mbovu full of scratches inagoma hadi kuupgrade
Kawaida Hizo dicoda zinatumia minara boss hivo igeuze geuze antena yako huku ukiangalia signal hio ni tofati na dish ambayo inarumia satelite. Minara kama ikikwepana na hatena huwezipata signal
 
jerrybanks

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
2,806
2,000
Wakuu poleni na majukumu ya kila siku,

Binafsi nimeshindwa kutatua hii issue ya kisimbuzi kipya cha azam antena kinaleta no siginal kama zikija huwa ni kukata kata na ku scratch, awali nilikuwa natumia antena iyo iyo kwa kisimbuzi cha star times na nikirudishia star times kinafanya kazi poa ila nikifunga azam antena iyo iyo kinaloose signal.

Nimejaribu kuangalia intensity nakuta 0 na signal quality ni 0 wakuu niambieni tatizo ni nini??
ukitaka ufaidi kingamuz cha antena ni lazma utumie antenna ya azam maana antenna yao ina support hd
 
Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,187
2,000
Wakuu poleni na majukumu ya kila siku,

Binafsi nimeshindwa kutatua hii issue ya kisimbuzi kipya cha azam antena kinaleta no siginal kama zikija huwa ni kukata kata na ku scratch, awali nilikuwa natumia antena iyo iyo kwa kisimbuzi cha star times na nikirudishia star times kinafanya kazi poa ila nikifunga azam antena iyo iyo kinaloose signal.

Nimejaribu kuangalia intensity nakuta 0 na signal quality ni 0 wakuu niambieni tatizo ni nini??
Nunua Antenna yao Azam then tumia, Tatizo litaisha...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom