Endangered
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 922
- 231
naona picha haionyeshi maswali vizuri
Who was your favourite teacher (martin mark) meeeeee :biggrin: :biggrin:
Who was your best chilhood friend? (leh) again me!! :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin:
Where were you in January 2000 (Arusha)
regards.. leh
pole kwa kupoteza file zako emkey. kwa kutumia itunes, utaweza kuweka miziki tena. nafikiri niliona post yako juzi na nikacomment. anyway, cha kwanza ni kuinstall itunes
tumia hii link Apple - iTunes - Download iTunes Now
naona picha haionyeshi maswali vizuri
Who was your favourite teacher (martin mark) meeeeee :biggrin: :biggrin:
ha haha
😎
Who was your best chilhood friend? (leh) again me!! :biggrin: :biggrin: :biggrin: :biggrin:
🙂
Where were you in January 2000 (Arusha)
regards.. leh
sasa kama unayo kwa muda kwanini unahangaika nayo? kama unataka kuweka software au kitu chochote mwambie mwenye nayo lazima atakuwa na itune acc, otherwise ni way out update, jailbreak and get ur own ituneWakuu hali,
nina iPod touch kwa muda, na ina some stuffs za mwenye nayo.
Sina acc ya itune, as sina credit card, ambayo nashindwa ku-bypass wakati wa refistration.
this device is 4.0.2, siwezi kudowngrade ili nii-jailbreak, picha ziliomo zitapotea.
Point yangu, naweza pata msaada kwa mtu aliye na apps (games mostly) nikaxplore kwa mda, maana so far nachofaidi ni kuwatch movies before I get to sleep.
alternatively, sijui kama inawezekana though, acc ya a registered person ni-download free apps, kwa sasa siwezi kudownload chochote mpaka registration, which sucks to me.
Shukran!