Hakilisha hiyo app ni Simba SC # Nguvu moja.
Nimedownload jana usiku na kuanza kutumia muda huohuo bila usumbufu.
Natumia Samsang"
Isije ikawa aina ya sim ni tatizo.
Hii App imenishinda.
Kwenye page ya Simba insta, nimeiona nime idownload, nimejaza fomu niliyoiona, nime Send imekubali halafu kimyaa,
App siioni na nina Sansung ya ukweli kabisa.