Msaada: App ya kupakua video

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
678
Reaction score
196
Habari wanajamii, naomba kufahamu ni app ipi unaweza kudownload videos na zikahifadhiwa moja kwa moja kwenye sd card.
 
Video kutoka wapi? Kama ni Youtube kwenye simu PipePipe.

Kwenye PC jdownloader.org haina mpinzani kwa kudownload video karibia kila website.
Pia kuna yt-dlp kama unaweza kutumia program za command line.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ