Naomba kama kuna mtu anafaham hii kampuni ya BIMA inaitwa BRITAM..
Je!nikampuni ambayo sio longo longo wakuu..nataka nifungue bima ya gar..msaada wakuu
Naomba kama kuna mtu anafaham hii kampuni ya BIMA inaitwa BRITAM..
Je!nikampuni ambayo sio longo longo wakuu..nataka nifungue bima ya gar..msaada wakuu
Hii ni kampuni inayomilikiwa na wakenya zamani ilifahimka kama Real Insurance wanapatikana PPF tower,shida yao ni pale linapokuja suala la claims kwani hawataki kulisikia kabisa,mwanzoni walikua vizuri but now days ni majanga.