Elimu yake?? Uaminifu vipi??Habari zenu wana forum, nina ndug yangu wa kike age 22, alikuwa anatafta kibarua au kazi ya dukani ili nae aweze kujivua utegemezi japo kwa namna ndogo, yupo hapa dar, hivyo nimelifiksha kwen wakubwa kama yupo muhitaji au anaeweza kumsaidia naomba mtusaidie.
Kwa maelezo zaid
0659086861
Ahsanten wakuu
Miaka 22 unaulizia elimu? Huyo ni lazma shule ishamshindaElimu yake?? Uaminifu vipi??
Sio vizuri. Una hukumu.Miaka 22 unaulizia elimu? Huyo ni lazma shule ishamshinda
Habari zenu wana forum, nina ndug yangu wa kike age 22, alikuwa anatafta kibarua au kazi ya dukani ili nae aweze kujivua utegemezi japo kwa namna ndogo, yupo hapa dar, hivyo nimelifiksha kwen wakubwa kama yupo muhitaji au anaeweza kumsaidia naomba mtusaidie.
Kwa maelezo zaid
0659086861
Ahsanten wakuu
Kama alikosa ada?!Miaka 22 unaulizia elimu? Huyo ni lazma shule ishamshinda
ndio kusanda kwenyewe hukoKama alikosa ada?!
Kama ana mdhamini mwenye makazi maalumu tuwasiliane
Mkuu hakiki tena jinsia yake na umri. True caller wananiambia huyu binti 22 ni "muft"
Habari kka, Samahan nlipotea hewani kutokana na sababu za hapa na pale, bado anahitaji kibarua huyo dada yangu, kuhusu mdhamin yupo naweza kukukutanisha nae, kama unaitaji bado naomba mrejesho wako kwa mara nyingine.Kama ana mdhamini mwenye makazi maalumu tuwasiliane
Asante kwa mrejesho, hiyo namb nloandika hapo ni ya kwangu mim, mwanzon nlieka yake ila kutokana na changamoto imebidi niweke ya kwangu, maana wapo wenye kulichukulia tatizo LA wenzao in positive Way, lakn wengine tofauti. Bado anahitaji kibarua, kama bado upo na mahitaji ya huyo mtu naomba majibu yako ndugu.
Mkuu hakiki tena jinsia yake na umri. True caller wananiambia huyu binti 22 ni "muft"