Msaada: Amepofuka kwa kunywa Quinin

Msaada: Amepofuka kwa kunywa Quinin

Ngaliba Dume

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
1,710
Reaction score
3,685
Msaada jamani,nina ndugu yangu alipatwa na ugonjwa wa malaria,na katika matibabu yake akatumia Quinin...lakini cha ajabu amepoteza nuru kabisa,mwanzoni aliaanza kuona "mbilimbili“ lkn baadae kapoteza kbs nuru...mnatazamana haoni...jamani mwenye kujua tufanyaje?mana tumejaribu tiba za hapa.na pale ktk mahospital lkn hapati unafuu.
NB:Kwa kweli huduma za afya ktk nchi yetu ni jangaaa
 
pole sana ndugu...! ila izo dawa huwa zinasababisha kutokusikia vizur kwasababu nimekutana na viziwi wengi wamepoteza usikivu kwa sababu ya izo dawa ni hatari sana
 
Mkuu me nikupe tu pole ila wenye uelewa wanakuja
 
Pole, no mojawapo wa madhara ya quinine pamoja na uziwi kwenye masikio
 
Back
Top Bottom