Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,106
- 10,470
Umeupload vyeti vyote vinavyohitajika?Wakuu,nimejiunga na Ajira Portal hivi karibuni.
Nimejaza taarifa zangu zote,lakini nikiangalia kwenye dashboard inaonesha profile yangu imekamilika kwa asilimia 54 tu.
Nashindwa kuomba kazi kwasababu system inaruhusu kuomba kazi kama profile yako imefikia angalau asilimia 70.
Kwa wazoefu wa huu mfumo wa uombaji ajira,wapi nakosea?
Ndio Kiongozi,nimeupload vyeti vyangu vyote.
Wakuu,nimejiunga na Ajira Portal hivi karibuni.
Nimejaza taarifa zangu zote,lakini nikiangalia kwenye dashboard inaonesha profile yangu imekamilika kwa asilimia 54 tu.
Nashindwa kuomba kazi kwasababu system inaruhusu kuomba kazi kama profile yako imefikia angalau asilimia 70.
Kwa wazoefu wa huu mfumo wa uombaji ajira,wapi nakosea?
Jaribu kujaza kila eneo bila kuacha chochote itajaa tu vizuri.. Hata picha ikibidi uweke.. Mimi kwangu ilijaa faster tu hadi 79% siku hio hio najazsVipi mkuu George Betram ulifanikiwa kupandisha hiyo asilimia? Maana na mimi nimekutana na hiyo changamoto ya asilimia 54!
Yaan hapa nimeweka kila kitu, hadi nahisi labda ni kwasababu natumia simu! Hadi nimechoka kwakweli!Jaribu kujaza kila eneo bila kuacha chochote itajaa tu vizuri.. Hata picha ikibidi uweke.. Mimi kwangu ilijaa faster tu hadi 79% siku hio hio najazs
Jaribu kutumia pc utaona vizuri... Simu mimi ilinisimbua hata kujaza basic info nikahamia Kwenye pcYaan hapa nimeweka kila kitu, hadi nahisi labda ni kwasababu natumia simu! Hadi nimechoka kwakweli!
Jaribu kutumia pc utaona vizuri... Simu mimi ilinisimbua hata kujaza basic info nikahamia Kwenye pc
Nilifanikiwa Chief...Vipi mkuu George Betram ulifanikiwa kupandisha hiyo asilimia? Maana na mimi nimekutana na hiyo changamoto ya asilimia 54!
Nilifanikiwa Chief...
Nilirudia rudia kujaza mpaka nikashtukia imepanda hadi asilimia 84..!
Hongera mkuu, na mimi nashkur leo nimekorogakoroga nikashtukia imepanda!!Nilifanikiwa Chief...
Nilirudia rudia kujaza mpaka nikashtukia imepanda hadi asilimia 84..!
Security officer mkongwe...Ume apply position gani mkuu
Ahahaaaah...Hongera mkuu, na mimi nashkur leo nimekorogakoroga nikashtukia imepanda!!
Acha tu kiongozi, tena kichwa kilishaanza kuuma! Lakini baadae kurudi kwenye dashboard nakuta kitu kimenyooka! Nikashusha pumzi!Ahahaaaah...
Noma sana Mzee...
Kwahiyo umekoroga koroga mpaka ukashtukia imepanda..?
Security officer mkongwe...
Wewe je..?
Au wewe upo JIKONI(Utumishi) mkuu..?
Sawa Kiongozi...Mi msakatonge kama wewe mkuu.. Operations Clerk
Kaangalie kwenye SPAM au IMPORTANT utaikuta hapo email.Wakuu mm ndio kwanza naanza kujiunga kwenye hiyo ajira portal. Nimeweka email pale na pasword nikabonyeza 'register' naambiwa ntatumiwa email ila tatizo sasa mpk ss email siioni, kifupi haijatumwa asa sijui tatizo ni nini. Kuna ambaye amewahi kuexperience tatizo kama hili