Habari wakuu,
Nimepata tatizo moja kwenye Account yangu ya Facebook inashare video chafu na kutag marafiki zangu,inakuja kuappear kwenye timeline yangu.Watu wanakuja kunilalamikia.Naomba msaada wa kufix hili tatizo kwa maana nareport ila bado hakuna lolote lililofanyika.
Naomba msaada kwa hili wakuu linaharibu reputation yangu.
Asante
Mkuu ni kosa lako mwenyewe kuwa na facebook account.
btw
hilo tatizo linatokana application inayojiauthorize kupost videos au picha kila baada ya dk flani.
Wengi ambao hukumbana na tatizo hili ni wale wanaotafuta ku increase number of likers ktk website ambazo baadae zinaweka apps kwenye account zao then mara ya kwanza zinapost ktk kila wall ya friend wako, nakuonekana kama ni ww uliyepost.
Sasa fanya hivi.
Nenda kwenye SETTINGS ingia walipoandika APPS, alafu ingia walipoandika LOGGED IN WITH FACEBOOK, hapo utaona application zote zinazo access account yako.
Chagua ambayo unaona inapost upuuzi then REMOVE.
Regards: Cysthe
Mnapewa link then mnazama mkifika mna allow hizo app mkizani mnazams deep zaidi kumbe umekaribisha develepor ambao wameset uki allow app yao zitatokea matangazo au data zao kwa wall yako mara nyingi mnavutwa kupitia picha chafu hivo pole mana source ni ww cha kwanza feel safe hakuna ali access akaunti yako
Namna ya kutatua tatizo ingia setting then General nenda apps then remove izo apps ulizo access
Usifanye ngono huku PC yako iko on hasa page ya Facebook ikiwa haiko closed inafyonza yote unayoyafanya na kuanza kuyapost Kwenye timeline yako. Huu ni ushauri kutoka kwa my Monk Facebook Guru
Duh kweli halimbaya ila ushauri tu pia usifungue website za porn uku umelog in facebook kwenye tab nyingine.
Daah pole ndugu
habar wadau vp kama unataka kuingia akaunt ya facebook ya mtu mwingine unafanyaje namba yake ukiwa nayo msaada kwa anaejua
Asante mkuu...nishasolve