TCleverly JF-Expert Member Joined Feb 26, 2013 Posts 1,921 Reaction score 873 Jul 26, 2013 #21 Dina said: yaani usiombe mkuu, nili-appeal na ku-appeal lakini wapi! Inawezekana hii formula kuna iliyowasaidia, ila mie kwangu yalikuwa matanga..... Click to expand... hata mimi nishawahi kuumizwa hapo tra....ila nimejifunza jinsi ya kupambana nao.
Dina said: yaani usiombe mkuu, nili-appeal na ku-appeal lakini wapi! Inawezekana hii formula kuna iliyowasaidia, ila mie kwangu yalikuwa matanga..... Click to expand... hata mimi nishawahi kuumizwa hapo tra....ila nimejifunza jinsi ya kupambana nao.
samora10 JF-Expert Member Joined Jul 21, 2010 Posts 7,607 Reaction score 4,818 Jul 26, 2013 #22 Matumizi ya hiyo formula yatategemea invoice ya gari yako.. Kama invoice yako inawafavour TRA watatumia hiyo Calculator Kama invoice inakufavour wewe basi wanakokotoa manually na hapo ndio wengi wanalia na kulalamika!
Matumizi ya hiyo formula yatategemea invoice ya gari yako.. Kama invoice yako inawafavour TRA watatumia hiyo Calculator Kama invoice inakufavour wewe basi wanakokotoa manually na hapo ndio wengi wanalia na kulalamika!