kama kutokw ana ute mweupe kwa ajili ya kujisaidia haja kubwa sio dalili ya amradhi kwani huw auantumia nguvu kutoa haja kubwa. Kama ute unatoka na huku unajisikia maumivu sehemu zako za siri nend akamuone dakatari.Kutokwa na ute kwenye uume wakati umechuchumaa au wakati wa kujisaidia haja kubwa ni dalili za ugonjwa wa ngono?