MSAAADA TAFADHALI

mbegubora29

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2015
Posts
552
Reaction score
403
Jmn mie nimuaniriwa tyr na ni bachelor holder yq animal science toka SUA lkn najiona bado safar ninayo nataka ni apply diploma ya afya, kwahy nawaomba ushaur juu ya faida na hasra pindi nitakapochagua au kuamua nikasomee koz zq afya na sifa ninayo japo nilisoma siku nyingi kidogo kwq level ya form six ila diploma nitatumia form four!
 
 
sasa unasubiri nini kuomba mkuu

be yourself achieve your best.
 
Kwanza niambie mshahara unaopokea na fursa za ziada katika fani yako then unitajie na hiyo kozi ya afya unayotaka kuapply nikusaidie kulinganisha
 
Kwanza niambie mshahara unaopokea na fursa za ziada katika fani yako then unitajie na hiyo kozi ya afya unayotaka kuapply nikusaidie kulinganisha

mkuu sema tu na kila mtu afaidike maana si yeye tu nimeona wengi humu jukwaani wana tatizo hili
 
Mmi naonanaga kulikon horizontal movement bora vertical movement kwenye elimu
 
mkuu nimekua interested kujua unamaanisha nini.
Kulikoni kufanya diploma kwenye aneo jingine ni bora ufanye degree ukizingatia sayansi huwa sio mbay uwe makini tu na fani utakayofanya kwenye degree yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…