Msaaada kwa IT na Programer plz

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Habari wana JF

Naomba msaada wa kujulishwa namna ya kutengeneza kijiprogram kidogo hivi.

Nimetengeneza work sheet mzuri kwa ajili ya kutumia watunza kumbukumbu za ofisini pamoja na wahasibu kwa kutumia Excel hesabu za hapa zinabalansi wenyewe kwa kila ufanyalo .

Nimepata changamoto nyingi sana kwa watumiaji kwa bahati mbaya wanakia wanazifuta fomular ambazo nimeziweka na kukuta hesabu hazibalanzi wenye imekua kila wiki nizipitie computer za watu wote kuona ziko sawa au nakua naitwa kwa kua zoezi haliendi sawa.

Sasa nilikua nahitaji niitengenezee program ambayo itakua ni bora na itakayoondoa usumbufu kwa watumiaji na ikibidi niiweke ktk website ya ofisi ili taarifa zote ziweko online na nitengeneze password kwa watumiaji waweze kuingiza taarifa pia kwa wengine wawe na uwezo wa kusoma tuuu

Naomba msaada nifanyeje na nitumie program gani kuitengeza ila la kuzingatia iwe na uwezo wa kubalance mahesabu wenyewe
Asante
 

lipa kazi watu wakufanyie hiyo kazi programming sio rahisi kama spreadsheet huwezi tengeneza program hiyo unless una knowledge one of the programing language mfano c#
 
Ningekushauri uongeze ujuzi wa hiyo excel maana ina uwezo wa kuset security ya hiyo sheet usiweze kufuta formulas na vitu kama hivyo. Pia angalia Microsoft Access pia.
Program unayotaka kutengeneza sio simple unavyofikiri, inabidi ujifunze programming language na database development not to mention kama unataka kuweka online kuna html,css, javascript na kusetup servers etc
 
Php & mysql inahusika hapo, tupe tenda tupige wataalam, kutengeneza hyo kitu sio simple kama unavodhani kwamba hata mtu yeyote anaweza fanya..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…