Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,473
- 757
Hii post ingekua jukwaa la dini ingepata upinzani mkubwa sana.alaaniwe mtu yule amtegemeae mwanadamu nakumfanya kinga yake,abarikiwe mtu yule amtegemeae mungu..!
baba yake alikuwa anatumiwa na serikali kumtabiria mtu kifo kisha serikali inatekeleza kimya kimya hivyo basi nawashauri baadhi ya viongozi hasa wanaojifanya mstari wa mbele kupambana na ufisadi wakae mkao wa kifo.