Mrembo!!

icoderz

Senior Member
Joined
Mar 9, 2014
Posts
135
Reaction score
83
Hod wakuui! Jamani naangalia kili music awards 2014 recorded hapa maana sikuiona before. Sasa kuna wasichana wanaperform wako watano namjua Vannesa mdee tu wengine siwajui. kuna msichana mmoja nimempenda sauti yake ana nywele futi(amekata/naturalista), maji ya kunde, ana shape ya ukweli. hivi anaitwa nani? ameimba nyimbo gani? Najua atakua celebrity kwa hiyo atakua anajulikana.
 
Njia nyembamba sana aisee, waite stratagem, wanaweza itanua kidogo only if they wish to do so
 
Subiria kidogo ni'gugo then ntarejea kukupa jawabu!
 
sijajua unamuongelea yupi ila nahisi atakuwa Merina yule aliyekuwa BSS star ya mwaka jana ndiyo naona watu wengi hata mitaani wanamuongelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…