Chama Kikongwe kina watu wakongwe.. Cheki bungeni Dom utaona ni watu wazima na wala hauwezi hata Kucheza nae Disko huku ukimwangalia usoni ( Wamezeeka) na wale ni Watu wazima. Wanazingatia sera yao inayosema Vijana ni Taifa la Kesho na ndio maana wamezeeka na Chama chao Kimezeeka.