Toddy M,Toddy m,Toddy M.Nakuita Mara 3!!!Guys.. Mm naombe niwe muwazi.. Huyu demu nimechati naye sana ila niligundua hana hadhi yangu.. Yaan Ni ful Tom boy , alafu kanyimwa sura ana sura ngumu balaa, midomo meusi imevimba..
Yan kuna mdau hapo jua ameeleza kuwa wanaume tuna angalia mtu wakuleta home wengine tunamaliziana guest alikuwa sahihi kabisa.. Huyu demu ntawatumia picha zake mmuone alivyo alafu mtaelewa nikwanini katika Story za mrejesho wake amaezinguliwa na wanume wote..
Wewe hujiulizi hapo inakuwaje wanaume wote waishie kumbania kufika kwao? Hivi kuna mwanaume anacha papuchi kirahisi hivyoo..!
Yaan hatamanishi hata kidogo kwanaza hajipendi, yuko rafu, kakomaa sura balaa.. Alichopewa na mungu ni uwezo wakujieleza tu.. Kifua bapa ziwa hajapewa.. Yaan ukichat naye ukapata hisia kuwa unachat na mwanamke aisee wewe utakuwa mwanaume ulietoka gerezani unaukame wa miaka 20.
Niko naya Maeneo mtaa mmoja ila hanijui sura.. Tuliishia kuchat alipotuma picha kumbe nindemu ninaye muona kila siku mtaani kwetu.. Nikaanza kumzingua.. Tena hapo katika list ya watunalio chat naye aliyoweka amaeruka vitu vingine vinginsana...
Anisamee kwa kuwa muwazi maana naona anaadaa watu kuwa yeye ni super sana.. Ila siyo kweli ni kijeba sana na akibisa nita weka picha zake mumuone alaffu wanaume mseme wenye kama kweli unaweza mkaribisha nyumbani kwako labda umlete usiku watu wakiwa wamelala na umtoe saa 11 asubuhi.
Pengine na yeye alikuona hivyo hivyo kama ulivyo muona wewe, ujue kwenye haya mambo kinacho takiwa nikujitoa sadaka tu ndio mambo yanaenda, lakini ukisema ngoja kwa yeye afanye hivi na kumbe yeye pia ana sema ngoja wewe ufanye vile, basi mnaishia kuonana matapeli tu na kumbe hakuna tapeli hata mmoja sema hamkuelewa chakufanyayawezekana sikua serious ila reaction yake inatia hofu unajua kabisa ni tapeli utaendelea kutaka kutapeliwa? 🙂
Ni kweli kumbe umesanuka juzi hapa nimejua hiloAsilimia kubwa ya wanaume humu wanawake.
Hoja ya msingi kweli... Kunakitu kidogo sana nahisi ndio kina muharibi huyu binti, ila kwakuwa hatoi nafasi yakikijua mwacheni tu.. Ila mm nilimuelewa pungufu lake kubwa ambalo akiliacha atakuwa likable with everyone.Pengine na yeye alikuona hivyo hivyo kama ulivyo muona wewe, ujue kwenye haya mambo kinacho takiwa nikujitoa sadaka tu ndio mambo yanaenda, lakini ukisema ngoja kwa yeye afanye hivi na kumbe yeye pia ana sema ngoja wewe ufanye vile, basi mnaishia kuonana matapeli tu na kumbe hakuna tapeli hata mmoja sema hamkuelewa chakufanya
Toddy pls come PM, Kuna vitu umeongea vimenigusa... Lakini nimegundua unamjua kweli.. Pls come nataka kuongea na wewe...Guys.. Mm naombe niwe muwazi.. Huyu demu nimechati naye sana ila niligundua hana hadhi yangu.. Yaan Ni ful Tom boy , alafu kanyimwa sura ana sura ngumu balaa, midomo meusi imevimba..
Yan kuna mdau hapo jua ameeleza kuwa wanaume tuna angalia mtu wakuleta home wengine tunamaliziana guest alikuwa sahihi kabisa.. Huyu demu ntawatumia picha zake mmuone alivyo alafu mtaelewa nikwanini katika Story za mrejesho wake amaezinguliwa na wanume wote..
Wewe hujiulizi hapo inakuwaje wanaume wote waishie kumbania kufika kwao? Hivi kuna mwanaume anacha papuchi kirahisi hivyoo..!
Yaan hatamanishi hata kidogo kwanaza hajipendi, yuko rafu, kakomaa sura balaa.. Alichopewa na mungu ni uwezo wakujieleza tu.. Kifua bapa ziwa hajapewa.. Yaan ukichat naye ukapata hisia kuwa unachat na mwanamke aisee wewe utakuwa mwanaume ulietoka gerezani unaukame wa miaka 20.
Niko naya Maeneo mtaa mmoja ila hanijui sura.. Tuliishia kuchat alipotuma picha kumbe nindemu ninaye muona kila siku mtaani kwetu.. Nikaanza kumzingua.. Tena hapo katika list ya watunalio chat naye aliyoweka amaeruka vitu vingine vinginsana...
Anisamee kwa kuwa muwazi maana naona anaadaa watu kuwa yeye ni super sana.. Ila siyo kweli ni kijeba sana na akibisa nita weka picha zake mumuone alaffu wanaume mseme wenye kama kweli unaweza mkaribisha nyumbani kwako labda umlete usiku watu wakiwa wamelala na umtoe saa 11 asubuhi.
Kwahio tulio-single ndio hatuwezi hata kupanga chumba,hatujiamini,tumepanga vichochoroni au tunalala kwa shemeji?!! Haya dada tumekuelewa ngoja tupambane na hali zetu.Nachoamini jf hakuna mwanaume wanaojiamini yaan ukute anajiweza, ana hata uwezo wa kupanga hata Chumba safi na sebule na bado single??? Hapana yaan nahisi wengi ni wale walomaliza chuo, wamepanga vichochoron, au wanaishi kwa mashemeji wao wanalala sebulen.
Ahaaa take it easy bana ndo maana sijasema wote, bila shaka wewe uko lile kundi la sio wote.wewe hauko single wacha manenoKwahio tulio-single ndio hatuwezi hata kupanga chumba,hatujiamini,tumepanga vichochoroni au tunalala kwa shemeji?!! Haya dada tumekuelewa ngoja tupambane na hali zetu.
Im single and broke....and proud.Ahaaa take it easy bana ndo maana sijasema wote, bila shaka wewe uko lile kundi la sio wote.wewe hauko single wacha maneno
Naelewaa JF Kuna watu wazuri but sio kigezo cha mada za upuuzi!!Mara nyingi penda kupanda Mbegu ya Amani.Haya mambo hutokea kweli.Wala hajadanganya.
Humu Jf kuna watu wazuri.Wengine mpaka wachumba wazuri wapo.Na wengine wapita njia.
Trust me.Jf INA kila aina ya watu na mazingaombwe yapo
Hata sio upuuzi.Ukiona we upuuzi sisi wengine tunajifunza jambo.Naelewaa JF Kuna watu wazuri but sio kigezo cha mada za upuuzi!!