Habari,nilitoa uzi huu ,asanteni sana kwa ushauri wenu,kweli tulipata wakati mgumu sana pa kuanzia kwasababu wangejisikia vibaya sana kuwaona wakichunguzana,
Hivyo tukiwa tunakula chakula jioni ya jana mume wangu alianzisha stori iliopelekea wote kuchangia hapo mezani,mkaka alikua confident kuchangia mada ila mdada alikua akichangia kidogo na kwa aibu sana,mwisho mume wangubalimuuliza mkaka kama atapenda kuoa aliitikia kwa furaha na akamuomba akifikia kuoa tumsindikize,binti alituangalia kwa chini na uoga ila baadae niliinuka nae na kumuuliza kama ataprnda kuolewa,hakusita alinieleza na alinitajia mtu anaempenda hivyo nilimuelekeza sana ,natumaini kaelewa asante wapenzi kwa kunitendea wema
Lyrics
May the Lord bless you and keep you
make His face shine upon you,
the Lord be gracious to you.
May His love and His grace and His perfect peace
guard your heart and your mind and your life.
Soon the day will come when our work on earth is done.
United we will stand before God´s throne.
We will lift up holy hands.
We will shout and we will dance,
but the good work must go on
until that day has come.