Kinjekitile Jr
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 599
- 1,765
Mkuu endelea na kutumia dawa za hospitali kwa muda wa mwezi mmoja usipo pona nitafute kwa wakati wako ili nipate kukutibia maradhi yako ya kichocho kwa dawa zangu za asili na utapona kabisa maradhi yako na kurudi hali yako kama ya zamani uguwa pole.Wakuu ni matumaini yangu mu bukheri wa afya kabsa;
Mwezi uliopita nilikuja hapa kwenye hili jamvi nikaeleza kuhusu shida ya mkojo iliokuwa inanikabili na wengi wenu mkanishauri niende hospital nikafanyiwe uchunguzi zaidi ili nifahamu nini kinanikabili.Wengi wenu mli-predict uenda ikawa ni Urethral stricture au Tezi dume...
Asante sana mkuu nitafanyia kazi ushauri wakoMkuu endelea na kutumia dawa za hospitali kwamuda wa mwezi mmoja usipo pona nitafute kwa wakati wako ili nipate kukutibia maradhi yako ya kichocho kwa dawa zangu za asili na utapona kabisa maradhi yako na kurudi hali yako kama ya zamani uguwa pole...
Mimi kuna tatizo linanisumbua kuna muda inatokea kama siku mbili na kukata mpk miezi miwili , yaani nikikojoa baada ya mkojo wote kumalizika unastop km sekunde kadhaa una kuja mkojo wa mwisho mchache mchafu una rangi kuelekea km damu ya mzee lkn sipati maumivu yoyote imepita miaka sasa nahofia isije kuwa tatizo kubwa naomba muongozo.Mkuu endelea na kutumia dawa za hospitali kwamuda wa mwezi mmoja usipo pona nitafute kwa wakati wako ili nipate kukutibia maradhi yako ya kichocho kwa dawa zangu za asili na utapona kabisa maradhi yako na kurudi hali yako kama ya zamani uguwa pole.
UGONJWA WA KICHOCHO (BILHARZIA)
Tatizo hili huwapata watu wengi hasa watoto wanaocheza katika madimbwi ya maji wakati wa mvua au wanapotumia maji ambayo yana vijidudu vya maradhi hayo. Vijidudu vya kichocho humuingia binadamu na kwenda kuishi katika kibofu cha mkojo au utumbo wake.
Kwa kawaida kimelea cha kike hutaga mayai ambayo hutoka kwa mtu mwenye ugonjwa huo na kuingia katika maji ikiwa mtu huyo atakojolea maji hayo au wakati wa haja kubwa. Mayai hayo huanguliwa na kutoa viluilui ambavyo hupenya kwa konokono wa majini. Viluilui hawa baada kutoka kwenye mwili wa konokono huweza kumuingia binadamu na kupenya katika ngozi na kwenda kutulia ktka mishipa ya ini ambapo hukomaa na baada ya hapo hutoka na kuingia katika mishipa ya kibofu cha mkojo na njia ya haja kubwa katika utumbo mpana.
Mgonjwa asipotibiwa haraka hupata matatizo katika njia ya haja kubwa na kibofu cha mkojo na wakati mwingine mayai ya kichocho huingia katika uti wa mgongo au katika ubongo na kusababisha matatizo.
DALILI
Kupatwa na homa siku 30 baada ya kunywa maji yenye maambukizi
Kikohozi kikavu na kujihisi kuchoka.
Baadaye damu huanza kutoka kwenye mkojo na haja kubwa lakini hatua hii ni baada ya ugonjwa kukomaa.
Madhara ya Kichocho
Jinsi ya kuzuia kichocho
- Kansa ya kibofu cha mkojo (cancer of urinary bladder)
- Figo kushindwa kufanya kazi
- Cor pulmonale
- Gastrointestinal bleeding - Kuvuja damu ndani ya mwili hasa katika mfumo mzima wa chakula
- Portal hypertension
- Seizures - Kifafa au degedege
- Reflex nephropathy
USHAURI
- Kuondoa na kuangamiza konokono waliopo kwenye maji au ambao hupenda kuishi kwenye maji ambao ni muhimu katika mzunguko wa kuuwaji wa vimelea vinavyoleta kichocho kwa kutumia Acrolein, copper sulfate na niclosamide.
- Kwa sasa kuna utafiti unaendelea kwa ajili ya kutafuta chanjo ya ugonjwa huu wa kichocho.
Kichocho ni ugonjwa unaotibika haraka kwa dawa iwapo itabainika mapema.
Watoto wazuiwe kuogelea katika madimbwi au maji yaliyosimama.
Kunywa maji masafi na salama.
Wanaoish kando ya mito, maziwa na bahari wasikanyage maji hayo bila kuwa na viatu maalumu vya kuzuia maji kupenya na mabwawa yote ya kuogelea yawekwe dawa ya kuua vijidudu.
View attachment 2122088
Aina za Konokono wanaoambukiza Kichocho na wale wasio ambukiza. Sehemu wanaopenda kukaa Konokono
Nenda haraka hospitali huenda una matatizo kwenye figo au njia ya mkojo au kibofu cha mkojo wako kina matatizo nenda ukapime hospitali haraka iweze kanavyo kabla halijawa tatizo kubwa na sugu .Mimi kuna tatizo linanisumbua kuna muda inatokea kama siku mbili na kukata mpk miezi miwili , yaani nikikojoa baada ya mkojo wote kumalizika unastop km sekunde kadhaa una kuja mkojo wa mwisho mchache mchafu una rangi kuelekea km damu ya mzee lkn sipati maumivu yoyote imepita miaka sasa nahofia isije kuwa tatizo kubwa naomba muongozo.
Shukrani ,kwa dar hospitali gani nzuri kwa mambo ya mkojo na kibofu ?Nenda haraka hospitali huenda una matatizo kwenye figo au njia ya mkojo au kibofu cha mkojo wako kina matatizo nenda ukapime hospitali haraka iweze kanavyo kabla halijawa tatizo kubwa na sugu .
Nenda Hospitali ya muhimbili Sehemu ya kulipia bei yake itakuwa ni poa kuliko hospitali za Watu binafsi. Au kama una pesa nenda hospitali ya Wahindi Hindul Mandal ipo maeneo ya upanga aka uhindini jiji Dar.au nenda hospitali ya Ağ khan pia nzuri kwa kupima mkojo.Shukrani ,kwa dar hospitali gani nzuri kwa mambo ya mkojo na kibofu ?
Daktari upo? Siku nyingi sana nimekumbuka topics zako. Tiba asili za pressure na sukari zipo? Vipi kuhusu kitengo cha tiba asili pale muhimbili kina tofautiana vipi na tiba za wamasai?Nenda Hospitali ya muhimbili Sehemu ya kulipia bei yake itakuwa ni poa kuliko hospitali za Watu binafsi. Au kama una pesa nenda hospitali ya Wahindi Hindul Mandal ipo maeneo ya upanga aka uhindini jiji Dar.au nenda hospitali ya Ağ khan pia nzuri kwa kupima mkojo.
Mimi Sikijuwi hicho kitengo cha tiba ya asili hapo muhimbiliDaktari upo? Siku nyingi sana nimekumbuka topics zako. Tiba asili za pressure na sukari zipo? Vipi kuhusu kitengo cha tiba asili pale muhimbili kina tofautiana vipi na tiba za wamasai?