Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,535
Usimuudhi kabisa maana huwa wanasaidia hao katika siku ambazo mambo sio mazuri.Habari zenu wana Jamii Forums binafsi ni mzima wa afya njema,
Awali nilieleza masaibu yaliyonikuta nikaweka mambo hadharani juu ya huyu mchepuko anaedhani sijaoa na hivyo kuniganda mpaka mi mwenyewe namwonea huruma ila hakuna namna yote yametimia
HII TEXT AMENITUMIA JANA ILA SIJAMJIBU NADHANI NIMEMALIZA HILI TATITO "THANKS GOD"!.
NANUKUU"emma tangia leo nimechoka kuumiza moyo wangu asa bas endelea nauyo ulie mpata. ukanishusha thamani ukaniona mi nitakataka kwako poa sioni noma ila naona wivu, bas mingoja nijiengue kama mchele ulio lowekwa kwenye maji, kwaeli
Received:13:41:08
11-07-2016
From:L***a
0745*****8
Hahahaha mkuu huwezi jua ni Emmanuela au EmmanuelKumbe unaitwa Emma
Nipe hongera mkuu sio pole manake im happy mkuu.ahahaa dah pole sana
Mkuu siwezi kurudia kosa tena i mean i cant be with her anymore.Usimuudhi kabisa maana huwa wanasaidia hao katika siku ambazo mambo sio mazuri.
Kumbuka nilikuwa natafuta njia ya kuachana nae nikawa simjibu wala sipokei simu zake ndo maana kaamua kuchukua uamuzi kama huo ila im happy siko nae.Uachane nao vipi sasa wakati wenyewe ushakuacha.
Shukrani sana Usedcountrynewpipo kweli nimeamini MCHEPUKO SIO DILIHongera kwa kurejesha furaha yako iloyokuwa imepotea...
hapa tushajua ni EmanuelππππMkuu siwezi kurudia kosa tena i mean i cant be with her anymore.