Mrejesho: Mzee Wangu amepata 98m za mafao yake baada ya kustaafu

........Bwanaeh!kweli mkuu mkumbushe huyu maana hawachelewi kurudi hapa oohh naomba kwa mwenye kazi au kibarua chochote anisaidie nimehangaika mwaka wa pili huu sijapata kazi.

Ukimfuatilia unakuta ameshawahi post vitu kama hivi.

Asilimia kubwa ya threads za humu ndani huwa zinakuwa ni stori tu za kufurahisha baraza ndio maana hatupaswi kuzichukulia serious sana tutaumia.

Lakini watu huwa wanajisahau anapost thread ambayo inapingana na thread aliyowahi kuianzisha huko nyuma.

Kuna jamaa humu aliletaga thread na kusema Marehemu baba yake amewaachia mamilioni ya Pesa anaomba ushauri jinsi ya kuzitumia.

Akaja tena na thread nyingine kwa kusema "Baba yake mzazi anaingilia mahusiano yake"
 
hela ya kupewa ukanunulie kiwanja na tulipa mahari? bahada ya hapo?
 
Unayemshauri mwenyewe anawaza kwenda kupunguza stress. Anaweza kurudi hata millioni 5 zimeisha na hivi kesha alika wana JF. Mshana jr., mrangi, tukwende tumfundishe adabu huyu.
 
Write your reply...kwa mwenendo wako unavyoonekana hicho utakiuza kabla hujajenga
 
 
Mkuu umeshauri vizuri sana. Amana hata mimi najipaga kununua kiwanja chanika
 
Baba hajatenda haki, dada zako wamepewa 8m wewe umepewa 20m, kwa nini afanye hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…