Mrejesho, kumsahau mwenza

Aahhh nimekupata kama ye alifanya makosa mkaushie2 maake ukijipelekapeleka hajaomba msamaha atakuchukulia poa zaidi
Na usiombe mwanamke akuchukulie poa
 
Mnagombea nini?
 
Muongeleshe akigoma na wewe kashitaki kwenye dawati la jinsia la wanaume ko bila bila ukirudi na wewe nuna
 
Piga chini tafuta mwingine nanda kwa DC funga ndoa maisha yasonge utabembembeleza mpaka lini? Wanawake wapi kibao.
 
Heheeeeee hii dunia ina mambo😀
 
Umenichekesha sana aiseee yani ni kichekesho cha yule juha ambaye amepanda punda na mwanawe kisha watu wakamshangaa kuwa mbona nyinyi ni watu tena muwawili kisha mnampanda punda hmwoni mnamuumiza? Jamaa akashuka akamwacha mwanae juu ya punda, kufika mbele watu wakamwambia yaani mwanao wamfundisha adabu gani wewe utembee kwa miguu yeye amebebwa na punda, jamaa akamshusha mwanae kisha akapanda yeye, kufika mbele kidogo watu wakmwuliza hivi wewe una akili? yani mtoto jua kali namna hii anatembea kwa miguu wewe upo juu ya punda? Jamaa akaona bora nae ashuke ili punda, yeye na mtoto kila mmoja atembee mwenyewe, kufika mbele kidogo tena watu wakaanza kumlaumu/kumcheka kwamba e bwana vipi mna punda kisha mnatembea kwa miguu na jua lote hili? Yaani hapo usipokaa vizuri unaweza kuwa juha ndugu yangu, kikubwa hapo anza kumwomba yale mambo yakikubwa na hakikisha anafika kileleni mara kadhaa siku hiyo uone ukimya utaisha wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…