Kwa Ukweli Kabisa Swala La Hati Sio Tatizo Ila Kuna Tabia Ya Watanzania Kupenda Kuongopewa Hati Ni Mali Ya Serikali Ukisikia Mtu Anakuambia Atakupa Na Hati Moja Kwa Moja Maana Yake Hicho Kiwanja Tayari Kina Mmiliki Hivyo Utapata Hati Lakini Utalazimika Kufanya Transfer Ili Hati Iwe Na Jina Lako
Sisi Kingo Property Utaratibu Wetu Ni Kama Ifuatavyo
Njoo Sait Kagua Eneo /Ridhika /Lipia
Unapomaliza Kulipia Chukua Mkataba Wako wa Mauziano, / Jaza Form Kwa Ajili Ya Hati Tuachie Sisi Form Yako Au Ukipenda Fatilia Mwenyewe
Ila Ukituachi Sisi Tutafatilia Mpaka Hatua Ya Control Numba Utatumiwa Na Wizara
Na Hapo Jukumu La Kukabidhiwa Hati Litakuwa Ni Lako Kwani Hati Hakabidhiwi Mtu Yeyote Zaid Ya Muhusika tu.
Ukiona Kampuni Au Mtu Anapiga Picha Kuwa Anamkabidhi Mteja Hati Huyo Anfanya Maigizo , Muongo , Au Anamkabidhi Hati isiyo Na Jina lake Ili Akafanye Transfer. Kwa Maana Ni Hatua Nyingine Ngumu Kwa Mteja
Lakini Hati Zinapatikana Ondoa Hofu Mkuu