Mchaka Mchaka JF-Expert Member Joined Jul 20, 2010 Posts 4,517 Reaction score 1,428 Sep 30, 2012 #1 Jamani waungwana, kama kuna mtu anaweza kunipatia hii album ya huyu jamaa, ni moja ya album za watanzania nilizozihusudu sana, ilikuwa na nyimbo kama : wasiwasi, ndani ya Love, buzi, etc kama kuna mtu ana MP3 file ya haya mambupu msaada tafadhali. Click to expand...
Jamani waungwana, kama kuna mtu anaweza kunipatia hii album ya huyu jamaa, ni moja ya album za watanzania nilizozihusudu sana, ilikuwa na nyimbo kama : wasiwasi, ndani ya Love, buzi, etc kama kuna mtu ana MP3 file ya haya mambupu msaada tafadhali. Click to expand...
Kiranja Mkuu JF-Expert Member Joined Feb 18, 2010 Posts 4,364 Reaction score 4,942 Sep 30, 2012 #2 Ukiipata let me know
Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,110 May 21, 2014 #3 Kiranja Mkuu said: Ukiipata let me know Click to expand... ukiipata na mie niambie
B Brbm Member Joined Apr 16, 2014 Posts 71 Reaction score 6 May 21, 2014 #4 Ingia google andika 'mzibo net-mr paul'