Mkuu nakushauri uwe na full packages , kuanzia designing, kufuatilia vibali vya ujenzi, kuuza viwanja pamoja na hizo kazi zako za consultation ili uwe na uwanja mpana wa uhitaji ... Umebase kwenye sehemu ndogo ... Sidhani Kama Ni rahisi mtanzania ampe dili fundi halafu na wewe consultant upewe pia pia dili kwasababu za kiuchumi na tabia za watanzania sio rahisi kufanya consultation.
Hivyo Basi soma tabia za wateja wako ndio uone wapi pa kuwekeza ....
Sent using
Jamii Forums mobile app