hivi kunywa pombe ni uvunjaji wa sheria?nilitegemea jeshi langu la polisi lijikite zaidi katika kutokomeza ujangili unaoharibu urithi wa our next generations,all under world wanaojihusisha na drugs,utakajishaji wa fedha,wizi wa kutumia silaha,na mbaya zaidi hasa kwa sasa human trafficking hii biashara imekuwa kubwa mno na my Tanzania inaathirika mno,watanzania wengi wanaishia kwenye madanguro humu humu ndani ya SADC,nchi yangu imekuwa ni transit point ya biashara hii haramu,lakini hakuna linalofanyika may be hakuna mtoto wa kigogo aliyeathirika na biashara hii,hii ya polisi wangu kukimbizana na walevi wawaachie mgambo wa serikali za mitaa.