Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,143
- 34,294
Kumlazimisha mtu kufollow mastaa ni UMAMAMr Blue wa siku hizi sio yule wa miaka ile.
Siku hizi jamaa kabadilika sana yani anajisikia kweli mpaka anaboa.
Hivi ni nani anamdanganya huyu jamaa kwamba na yeye ni staa hapa TZ? Hivi tukisema tupange listi ya mastaa Mr Blue naye atatoka? Si itakuwa ajabu la mwaka hilo.
Miaka ya nyuma jamaa alikuwa homie sana yani haringi wala nini halafu hajikwezi ila siku hizi doooooh anaboa,imefika pahala ananata mpaka kwa mastaa wenzake.
Mwanzoni Insta alikuwa amewafollow mastaa wengi tu (2K+)ila siku hizi baada ya kuota mapembe kawa unfollow wote amebakisha 31 tu na hakuna staa hata mmoja wa kibongo.
Ameamua kum unfollow mpaka Diamond Platnumz na crew nzima ya wasafi .
Kwa mwendo huu jamaa atazidi kupotea.View attachment 904145
Naona kuna uhitaji wa watu kuangalia kwanza sehemu zao afu ndo wacommentKumlazimisha mtu kufollow mastaa ni UMAMA
hakuna mtuu star kama mr blue acha unafiki uende mbinguni mtu star tangu noti ya elfu kumi ni ya rangi ya blue wewe utakuwa mzee wa mateam hakuna star kama huyo jamaaMr Blue wa siku hizi sio yule wa miaka ile.
Siku hizi jamaa kabadilika sana yani anajisikia kweli mpaka anaboa.
Hivi ni nani anamdanganya huyu jamaa kwamba na yeye ni staa hapa TZ? Hivi tukisema tupange listi ya mastaa Mr Blue naye atatoka? Si itakuwa ajabu la mwaka hilo.
Miaka ya nyuma jamaa alikuwa homie sana yani haringi wala nini halafu hajikwezi ila siku hizi doooooh anaboa,imefika pahala ananata mpaka kwa mastaa wenzake.
Mwanzoni Insta alikuwa amewafollow mastaa wengi tu (2K+)ila siku hizi baada ya kuota mapembe kawa unfollow wote amebakisha 31 tu na hakuna staa hata mmoja wa kibongo.
Ameamua kum unfollow mpaka Diamond Platnumz na crew nzima ya wasafi .
Kwa mwendo huu jamaa atazidi kupotea.View attachment 904145
Hivi kwani Diamond kawafollow mastaa wrote wa bongo?
Safi anawafollow anaowaelewa km nyie.Mm kanifollow
Safi anawafollow anaowaelewa km nyie.
Hapana.Ww hajakufollow?!
Hizi chuki zingie bhana! Hivi asingekuwa staa ungeandika uzi kumhusu kwenye hili Jukwaa la Celebrities? Halafu wewe ni nani kumpangia mtu watu wa kuwa-follow?...Mr Blue wa siku hizi sio yule wa miaka ile.
Siku hizi jamaa kabadilika sana yani anajisikia kweli mpaka anaboa.
Hivi ni nani anamdanganya huyu jamaa kwamba na yeye ni staa hapa TZ? Hivi tukisema tupange listi ya mastaa Mr Blue naye atatoka? Si itakuwa ajabu la mwaka hilo.
Miaka ya nyuma jamaa alikuwa homie sana yani haringi wala nini halafu hajikwezi ila siku hizi doooooh anaboa,imefika pahala ananata mpaka kwa mastaa wenzake.
Mkuu huyu ni mke wake na Mr blue so mwache ampangie tu...Hizi chuki zingie bhana! Hivi asingekuwa staa ungeandika uzi kumhusu kwenye hili Jukwaa la Celebrities? Halafu wewe ni nani kumpangia mtu watu wa kuwa-follow?...