Mpwa wa Rais Magufuli autaka uenyekiti UVCCM taifa

Chama chetu hawa wenye makandokando ndo hupitishwa na kuondoa wenye misimamo mikali, huyu Khery James ni shoga hii kila mtu anajua sio siri hata kwenye interview Dodoma huyu mme wake Kayombo alikuwepo akitoa rushwa
 
Kuna ubaya gani!? Mbona mkwe wa muasisi wa Chadema ndio Mwenyekiti wa kudumu Chadema (Taifa)!
 
Reactions: Oii
Duuuh hadi uchaguzi wa ndani figisu figisu, sasa chaguzi nyingine zitaachaje kuwa na figisi
 
Wivu wa kike
 
Mpeni kipara uenyekiti wa UVCCM labda atajaribu kuifufua Ambiance Club pale mwenge( Nafikiri mshaelewa).. DC aliifunga kwa kuwa alidhulumiwa penzi pale
 
Aisee kama ni kweli basi ngozi nyeusi ina laana yaani mijitu inawaza kupeana favours za uongozi tu hivi hatujifunzi kwa Mugabe ,huyu mzee angeweza hata kufia madarakani but the only worst mistake that the poor old man did was an attempt of power transfer to his wife .
 
Mijitu imevimbisha mitumbo na mashavu tu kwenye gari na ofisi za serikali ,yaani kuna mambo yanakera na kwa kweli kama watanzania hatutapambana tukapata katiba mpya tutaendelea kushuhudia upuuzi wa Karne katika nchi yetu .Mchawi hapa ni katiba tu

Hivi li jitu kama hili unatarajia nini kizuri kitatokea likishapata madaraka hayo ambayo linapigiwa promo sasa hivi?
 
Ana haki. Mtanzania na umri unatosha. Hakuna shida ni safi sana. Na kama DNA ni sawa ndio mzuri sana
 
Eti SWEEPER hahahaha wabongo punguzeni kula carbohydrates. Wananchi tunataka uchumi mifukoni na sio James Bond movies.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…