Kwa mtamzamo wangu. Mpoki anahitaji guidance. Is a true comedian, kwa maana ana flow vizuri. Ila tu anavuka mstari.
Kwa kibongo hatujazoea mtu kukuongelea weakness zako in a comedy way. Especially in public. Mfano alisema,'Halafu siku hizi Ray kama unazidi kuwa mweupe!!' It's a fact but in Tanzanian culture, mwanaume huwa hajichubui ngozi. Ndo maana Ray ali mind. Kama ulisoma body language!
Mfano mwingine alipokuwa anataja sifa za Asha Baraka, mojawapo alisema huyu Dada Asha ni dumejike. Kwa namna moja ni kama sifa ya kuwa ni mwanamke shupavu lakini kwa namna nyingine mtu anaweza tafsiri kuwa ni msagaji!
Money Stunna kuna mahali ame quote comedians wa Amerika kwenye BET na MTV. Kiukweli culture ya America na Tanzania ni usiku na giza. So hivi vitu huwezi uka copy comedy ya Amerika ukaileta Manzese inaweza isi make sense hata kidogo. Vivyo hivyo kwa comedy ya Ifakara ukaipeleka Boston.
Mwisho wa siku narudia Mpoki anahitaji kujua cultures za watu esp kama event ni multi cultural. Kwa sababu hata kiyendo cha kumuita Mzungu halafu ukatoa joke kwa kiswahili inaweza kutafsiriwa kuwa umekuwa offensive...
mpoki namkubali.
Lakn hapo kachemka.defn. Ya hiv aliyotoa haibadilishi maana.
Ameweka wenye tatizo la hiv kwenye kundi lisilotakiwa/kuhitajika - kunyanyapaa.wakiwemo watoto waliozaliwa na hiv,wanawake walioambukizwa kwa kubakwa,walioambukizwa kwa kuhudumia wenye tatizo hilo n.k
ulimi hauna mfupa kama ni mimi ningeomba radhi kwa walioguswa
huwezi cheka ukiangalia comedy unaNjaa.............
hiv/aids is a very sensitive subject of which to most most most people dont want a joke about it whatsoever..i understand that...and that comes the problem..sensitivity issues.....do you think he real meant to discriminate hiv victims?absolutely i hope not....
you are dayyym right, yawezekana alikua na kisirani cha njaa
kwikwikwikwikwi
a comedian can make fun of anything even his blind dad, deaf mom, HIV positive aunty or a gay cousin
you have to take a humour out ofthe comedy, otherwise usiwepo pale... not all jokes zinamtarget kila mtu, but the purpose of comedy ni kukufanya ucheke
i dont think jokes za ukimwi ni mbaya, na hasa ya mpoki kwasbabu ameiweka as a warning
tuna shida kubwa ya uelewa watanzania, nadhani ndio maana tuna IQ ndogo sana duniani
Kiukweli jokes hizi zinategemea na mazingira uliyopo. Hata maraisi hutaniana wanapokutana wakiongea. Lakini jokes watakazofanya wakia on-air ni tofauti kabisa na zile watakazofanya off-air. Mfano, kitendo cha Mpoki leo kusema familia ya kina Bonny kuwa ni ya wabahili kuliko watu wote sijakifurahia kabisa. Tena bila kutaja ubahili wao ni upi!! Hata Bonny mwenyewe amekwazika sana. Si yeye tu na wengine pia. Ni bora angemtania Bonny pekee yake kuliko kuweka na wadogo zake wote.
Bonny ni miongoni wa ma dj wachache sana hapa Bongo wenye heshima kubwa kutokana na sanaa yake. Hivyo kusema tu ni bahiri mkubwa bila kuelezea walau kidogo ni kwa vipi ni bahiri. Kwa kweli unakuwa hujamtendea haki. Kwa hili la Bonny limenikwaza hata mimi, kwa sababu namjua Bonny in personal.
Duuuh,kweli we jamaa ni mbishi.
Kwani unalazmishwa kuangalia
Uko serious...
Kwa mtamzamo wangu. Mpoki anahitaji guidance. Is a true comedian, kwa maana ana flow vizuri. Ila tu anavuka mstari.
Kwa kibongo hatujazoea mtu kukuongelea weakness zako in a comedy way. Especially in public. Mfano alisema,'Halafu siku hizi Ray kama unazidi kuwa mweupe!!' It's a fact but in Tanzanian culture, mwanaume huwa hajichubui ngozi. Ndo maana Ray ali mind. Kama ulisoma body language!
Mfano mwingine alipokuwa anataja sifa za Asha Baraka, mojawapo alisema huyu Dada Asha ni dumejike. Kwa namna moja ni kama sifa ya kuwa ni mwanamke shupavu lakini kwa namna nyingine mtu anaweza tafsiri kuwa ni msagaji!
Money Stunna kuna mahali ame quote comedians wa Amerika kwenye BET na MTV. Kiukweli culture ya America na Tanzania ni usiku na giza. So hivi vitu huwezi uka copy comedy ya Amerika ukaileta Manzese inaweza isi make sense hata kidogo. Vivyo hivyo kwa comedy ya Ifakara ukaipeleka Boston.
Mwisho wa siku narudia Mpoki anahitaji kujua cultures za watu esp kama event ni multi cultural. Kwa sababu hata kiyendo cha kumuita Mzungu halafu ukatoa joke kwa kiswahili inaweza kutafsiriwa kuwa umekuwa offensive...
Ila naona kama DJ Bonny Luv alichukia kuambiwa mbahili!!
Kiukweli jokes hizi zinategemea na mazingira uliyopo. Hata maraisi hutaniana wanapokutana wakiongea. Lakini jokes watakazofanya wakia on-air ni tofauti kabisa na zile watakazofanya off-air. Mfano, kitendo cha Mpoki leo kusema familia ya kina Bonny kuwa ni ya wabahili kuliko watu wote sijakifurahia kabisa. Tena bila kutaja ubahili wao ni upi!! Hata Bonny mwenyewe amekwazika sana. Si yeye tu na wengine pia. Ni bora angemtania Bonny pekee yake kuliko kuweka na wadogo zake wote.
Bonny ni miongoni wa ma dj wachache sana hapa Bongo wenye heshima kubwa kutokana na sanaa yake. Hivyo kusema tu ni bahiri mkubwa bila kuelezea walau kidogo ni kwa vipi ni bahiri. Kwa kweli unakuwa hujamtendea haki. Kwa hili la Bonny limenikwaza hata mimi, kwa sababu namjua Bonny in personal.
mmmmmmmh mbna wang cjamweka kwene chupa ase