mamii90 JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 380 Reaction score 266 Oct 11, 2014 #1 nataka nijiunge na timu ya kikapu maeneo ya hapa napoishi nimeshawishiwa na kocha wa timu,kimo na mwili kasema ndo unaoitajika swali sasa ni je huu mchezonuna future nzuri kwa mwanamke???
nataka nijiunge na timu ya kikapu maeneo ya hapa napoishi nimeshawishiwa na kocha wa timu,kimo na mwili kasema ndo unaoitajika swali sasa ni je huu mchezonuna future nzuri kwa mwanamke???