Mpira una mambo jamani???

ameline umeamkaje mama? kumbe na wewe mpenzi wa futiboli

Salama kabisa kaka TIQO ulevi wangu ndo huo baba,.sina starehe nyingine zaid ya kuwatch futiboli na kupenda habari za futiboli
 
hahahahaha na kweli labda basi adhabu ya papo kwa papo kama red card, direct rc, kufungiwa mechi kadhaa ndo zinatolewa...

nafikiri itabidi la sivyo tutapata sababu za kwenda kuangalia mpira bar, manake hm dogo akikuuliza baba hapo wanafanyaje kijasho lazima kikutoke
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…