Gusa achia twende kwao
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 916
- 1,029
Ni ishu za kawaida hasa kwa sisi tuliosoma boarding kuanzia O-Level hadi UniversitiesJana niliona half time Camara na Ngoma wanagombana ,
Maana mliita MEDALI na ikawa standard kwamba hakuna atakayevaa Tena miaka hii ya karibuni. Leo tunaita SHANGA!!Wamekubal kuvaa shanga
mi najua yanga tarehe 15 wtacheza tu,sasa kipigo watakachoipata kutoka kwa watoto wa jangwa ndo watauana kabisa na timu itafia hapo hapoPoleni makolo kwa kupoteza fainali Jana...Ni matokeo ambayo watanzania wengi tulitegemea kutokana na uwezo WA Timu yenu
Jana niliona half time Camara na Ngoma wanagombana ,Alafu mwishoni kabisa kwenye medali Pin pin Camara ameenda kuchukua medali bila ya kuwa na jezi ya Simba
Wanalunyasi mpira sio ugomvi ni mchezo WA kiungwana kupoteza ni sehemu ya mchezo ...Chezeni mpira sio mnacheza na marefa ...View attachment 3346124
Pale mlikuwa boarding au universitiesNi ishu za kawaida hasa kwa sisi tuliosoma boarding kuanzia O-Level hadi Universities
Tarehe 15 tunakuwa Rwanda,kesi tushapeleka FIFA wameipokea Tarehe 19 Maymi najua yanga tarehe 15 wtacheza tu,sasa kipigo watakachoipata kutoka kwa watoto wa jangwa ndo watauana kabisa na timu itafia hapo hapo
HakikaWamekubal kuvaa shanga