mpezi wa zamani anajirudi

please help me?

  • 1

    Votes: 1 100.0%
  • 2

    Votes: 0 0.0%
  • 3

    Votes: 0 0.0%
  • 4

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    1
  • Poll closed .
ww labda ni kwasababu hakijakutokea kingekutokea ungekuwa dilema km mm coz alikuacha wkt bado unampenda! ninajitambua heart!
 
Ngoja nikupe falsafa za yule mwimbaji wa taarabu wa Mombasa kwa jina anaitwa Bi Zuhura Saleh

Mtu akiwa hakutaki na wewe usimthamini
Wala usipate dhiki ukaingia fikirani
Yeye akiwa hakutaki na wewe pia umkatae
 
ww labda ni kwasababu hakijakutokea kingekutokea ungekuwa dilema km mm coz alikuacha wkt bado unampenda! ninajitambua heart!
kwani ww umeshasikia kuna mtu anaachwa akiwa bado hapendi?
kurudiana na x haifai just thnk from th 1st place kisa cha kuachana kwenu(to me x will olz remain x ,hakuna kurudia matapisho bana).
km huyu uliyenaye sasa hivi naye hujaridika naye unahisi utamdis one day temana naye pia ,na utulie mpaka utakapopata uliyeridhika naye kwa kila kitu ikiwemo kupendana.
 
Pole sana!ila mi naona ungefuata moyo wako unapenda wapi?ila vilevile kuwa makini na chaguo utakalofanya usilete moyo wa huruma katika hilo.sawa mdada?
 

Nadhan umesahau kuwa Loreen anampenz wake na kathibitisha kuwa anampenda, fikirien na huyu jamaa atakavo umia endapo Loreen atamwacha..., (Inauma sana jamaa kakupokea, kakupenda kwa dhati, afu eti umuache kisa wazamani kakuomba mrudiane.) akikuacha tena utafanyaje? Au ndo nawewe utamfuata ulienae sasa na kumwomba mrudiane??? ( laana mnajipa wenyewe afu mwisho wasiku mkose wakuwaoa muanze kulalamika humu jamvini)
 
ameniambia ameachana nae kabisa! wa sasa ananipenda ila tatizo ni kwamba ninamkumbuka sn wa zamani


samahani Loreen, hivi umebisha hodi? Maana naona umeingia tar 24/12/2011, yaani mkesha wa krismasi kabisa...
:ranger::ranger:
 
TULIA NA HUYO MPYA LOREEN,HUYO JAMAA HAJIELEWI,ACHANA NAE.UTAPOTEZA MENGI,IKIWEPO KUKUAMBUKIZA MAGONJWA,KILICHO MTOA KWAKO NI UZINZI TU.MWACHA APATE WANZINZI WENZAKE.

Ushauri:Usimrudie,akipata mwingine atakimbia.
 
Nakushauri usikilize moyo wako unataka nn?hata km huyo mpya anataka ndoa kesho je moyon unamfeel kiasi cha kutaman awe mmeo na utakuwa na furaha maishan?
Asikwambie mtu kuna upendo usiofutika km ndio unao kwa x wako haijalishi hata km utahama nchi still haitatokea ukamsahau maishan mwako na kamwe hutakuwa na furaha,otherwise ukubadi kumtoa mawazon na upendo huo uuhamishie kwa huyo mpya jambo ambalio sio rahisi,
Cha msingi usikilize moyo wako na ufanye maamuzi PIRIODI.
 
usirudi kabisa,endelea na huyohuyo mpya.Ashakuona wewe ndo wa kurudiwa?.Funguka loreen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…